#LIVE: FUTARI MAALUM ILIYOANDALIWA NA HARMONIZE KUTOKA SERENA HOTEL DAR ES SALAAM

Posted on

48 thoughts on “#LIVE: FUTARI MAALUM ILIYOANDALIWA NA HARMONIZE KUTOKA SERENA HOTEL DAR ES SALAAM”

  1. Mashaallah Harmo umefanya jambo Zuri. Lakini naona shetani kawazidi nguvu sasa hayo ma music yote yanini na wakati wcb mna nyimbo ya kaswida nzuri tu lkn mmeshindwa kukumbuka kuimba mmebaki kunyonga kibasikili. Allah atupe mwisho mwema no one is perfect.

  2. ss dia mwezio kakusalim kislam ww umemuitikia poa jamani haya mengine tumiachie mungu tu siukumu bure arafu mnafunga mmeweka brich kichwani na ww dia siumesuka ss unatia vp uzu

  3. hakuna faida ya kuftarisha jamani waislsmu tuachane unafiki tunakwenda kuulizwa kwa Allah nijiandae na majibu ya kujibu Allah subhanahuu watalala hichi mnacho kifanya si katika uislam kuanzia ftari na mziki hii ni aibu kwa uislamu

  4. Kwa wale waislamu wa wasafi nyote funga zenu batili na hampati kitu kwenye hiyo sadaka ya iftari kwa mujibu wa dini japo kuwa ustadh Kipoozeo ndio kaanza daah hatari anyway life goes on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *